Pages - Menu

Thursday, October 25, 2012

ALBUM MPYA YA MANSU-LI ITAKUWA KITAANI WEEKEND HII.

NEWZ>>>FILEX MMARI

Photo: ALBUM MPYA YA MANSU-LI ITAKUWA KITAANI WEEKEND HII.

Album mpya ya msanii wa Hip Hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU inatarajiwa kuwa kitaani weekend hii na itakuwa ikasambazwa na yeye mwenyewe.
Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi basi piga namba hii +255 784 351667 ili kuipata Album hii mpya yenye mawe makali sana. 

 Album mpya ya msanii wa Hip Hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU inatarajiwa kuwa kitaani weekend hii na itakuwa ikasambazwa na yeye mwenyewe.
Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi basi piga namba hii +255 784 351667 ili kuipata Album hii mpya yenye mawe makali sana. more newz usikose kuingia hapa Filex Mmari blog kila siku

No comments:

Post a Comment