Pages - Menu

Wednesday, September 26, 2012

Pah One Wakamatwa na Police kwa Kukutwa na Silaha za Moto


Kundi La Music la Pah one kutoka Tanzania limejikuta matatani baada ya kukutwa na Silaha za mto wakati wakifanya shooting maeneo ya Sinza, polisi waliwakatama na kuwepeleka selo ..ila cha kufurahisha ni kuwa Silaha hizo baada ya kuchunguzwa zilikuwa ni za Bandia ...Kwa sasa wameachiwa huru kwa dhamana lakini bado wana kesi ya kujibu ya kufanya shooting kama hiyo bila vibali vya Polisi.

No comments:

Post a Comment