Pages - Menu

Wednesday, September 26, 2012

Izzo Business Humwambii Kitu tena


Baada ya Kutoa Wimbo wa Utarudishwa Mbeya Sasa Izzo Business Yuko Busy Kufanya wimbo utakao kwenda kwa Jina la Huniambii Kitu ...Wimbo huo unafanywa kwenye Studio za Producer Dunga...Kaa Tayari mtu wangu..

No comments:

Post a Comment