Pages - Menu

Monday, September 10, 2012

ENZI ZA DAUDI MWANGOSI


Daudi Mwangosi kulia akiwa na Mahija Zayumba kutoka Nuru Fm na katibu msaidizi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin ambaye pia ni shemeji yake ,hapa ni ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wakati wa wanahabari Iringa walipotembelea hifadhi hiyo April 26 mwaka huu

No comments:

Post a Comment