Pages - Menu

Tuesday, September 25, 2012

ENGLAND FDL NEWS: BLACKPOOL YANYUKWA 3-1



Ligi daraja la kwanza nchini England imeendelea tena jana kwa mechi moja kati ya Blackpool na Huddersfield kushuhudia Blackpool ikipoteza mchezo huo baada ya kutandikwa 3-1.
BAO LA SIMON GARYSON
Mchezaji wa zamani wa Huddersfield Town Simon Garyson aliisawazishia Blackpool katika dakika ya 27 baada ya Lee Novak kutupia kunako dakika ya 13. James Vaughan alitupia dakika ya 45 na Oliver Norwood aliifungia Huddersfield katika dakika ya 48.
Ligi daraja la kwanza nchini England itaendelea tena  Jumamosi ya Septemba 29 mwaka huu.
Monday, September 24, 2012
Status
Home
Score
Away
Venue

FT
Bloomfield Road (13,886)

Saturday, September 29, 2012
Time
Home
Away
Venue

14:00 GMT
Oakwell Stadium

14:00 GMT
Reebok Stadium

14:00 GMT
Ashton Gate

14:00 GMT
Turf Moor

14:00 GMT
Cardiff City Stadium

14:00 GMT
The Valley

14:00 GMT
John Smith's Stadium

14:00 GMT
The KC Stadium

14:00 GMT
The Riverside Stadium

14:00 GMT
Molineux Stadium

16:30 GMT
Amex Stadium

No comments:

Post a Comment