It's more about music industry and social issues in and out of bongo land
Pages - Menu
▼
Thursday, September 13, 2012
Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni
“Nimeziona kwa kweli ni picha ambazo zinaonesha umbo langu lakini
nachoweza kusema kwa sasa ni kwamba wanaomba msamaha mashabiki wangu
wote kwani kilichotokea ni kwa sababu ya pombe na nimejifunza kutokana
na makosa,” alisema Aunty.
No comments:
Post a Comment