Pages - Menu

Monday, August 27, 2012

Sintah Apima Ngoma Majibu Yake Haya hapa


Sintah A.k.a Jlo wa Tanzania Amepima ngoma na kuweka majibu yake mtandaoni kwa watu kuona ..Haya hapa chini ndio maneno aliyoyasema baada ya kuanika Majibu hayo hapo juu:

"Sisemi nao eeh,sisemi nao wanao comment mbofu mbofu kuhusu jlo..Waganda hapa wangesema nakowaaaaa, maana mtoto wa watu sili silali sihemi
sina la kusema zaidi, mimi huwa ninafanya vitendo tu,, Je wewe umepima? au kazi kushadadia ya watu,,, haya zueni balaa lengine hili naona mmeloana na macho yamewatoka kama fundi saa akiangalia mishale kama iko sawa. Kama nawaona mlivyokuwa na hasira n comment lolest
Says Sintah

No comments:

Post a Comment