Pages - Menu

Sunday, August 19, 2012

MUSOMA UPDATE: LEO NI IDD EL-FITRI


Leo Jumapili ni sikukuu ya Idul Fitri katika nchi nyingi duniani. Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia leo wanaadhimisha sikukuu ya Idul Fitri na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

No comments:

Post a Comment