Pages - Menu

Wednesday, August 22, 2012

Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Kapteni Mstaafu James Lyamungu amefariki dunia......


Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Kapteni Mstaafu James Lyamungu amefariki dunia,kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mara Bw. John Tuppa amesema ameshutushwa na Msiba huo na kuwapa pole wananchi wote wa Serengeti na mkoa wa Mara.
source www.mwanawaafrika.blogspot.com

No comments:

Post a Comment