Pages - Menu

Thursday, August 23, 2012

KLYINN NAYE ABEBESHWA MIMBA......


YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA  AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA WASANII  WENZAKE  WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA... 
KLYINN ALIAMUA  KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU.
HIVI SASA  KLYINN  AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE

No comments:

Post a Comment