Pages - Menu

Sunday, August 26, 2012

Huyu ndio Mshindi wa Gari la Serengeti Fiesta 2012 Moshi


Bwana Ruge Mutahaba Kutoka Clouds Fm Akimkabidhi Bwana Adam Ramadhan Gogo Mshindi wa Gari La Fiesta Moshi Ufunguo na Faili la Gari Hiyo Aina ya Vitz..Bado Magari mengine ya Aina Hiyo Yataendelea kushindaniwa katika mikoa Mbali Mbali...

No comments:

Post a Comment