Pages - Menu

Tuesday, June 26, 2012

Mavazi na Bongo Flava-Kwani ni Lazima kutepesha Suruali ?



Msanii Akiwa anaimba huku Suruali ikiwa chini ya Makalio
 
                                              Diamond ni mfano wa Msanii Anae vaa vizuri
 
Ommy Dimpoz mfano wa Msanii anae vaa Vizuri
Siku za karibuni tumeona mabadiliko mazuri katika uvaaji kwa wasanii wa bongo flava hapa TZ lakini kuna kuna baadhi bado wanaendelea kututia kichefuchefu kwa kuvaa suruali nusu ikiwa chini ya matako..Mfano mzuri kwa wasanii wanao vaa vizuri na wenye mafanikio ni kama Diamond , Ommy Dimpoz and Izzo Bussiness , wasaniii tuige mfano kwa hawa wachache si lazima kutepesha suruali ndio uonekane msanii mzuri .

No comments:

Post a Comment