Baada
ya kupotea kwa mda katika game ya mziki, na hata watu wengine kudiriki
kumzungumzia amefulia, mzee kwa kutiririka Feruz is back kwenye game, na
kuonyesha still he can do it,baada ya kuachia pini linalosumbua kinoma
(ndege mtini) na hata kuonyesha mafanikio yakianza kuchanua upya na
kuonekana akisukuma ndinga.
si unajua binaadam siku zote tuna mitazamo tofauti,
No comments:
Post a Comment