Pages - Menu

Tuesday, August 14, 2012

LINEX KUOKOKA?


siku chache zilizipita, msanii Linex aliwaacha na alama ya kujiuliza baada ya kudondoka na mistari yenye uelekeo wa  kidini sana tofauti ya kawaida yake, na kuwaacha mashabiki wake wakihoji kama ndio ameamua kumfata Qj (kuokoka) ama anatarajia kudondosha pini la Gospal.

No comments:

Post a Comment