• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Saturday, June 16, 2012

    Ommy Dimpoz Nyimbo Mbili , Shows Kibao Kuna watu huwa wanazaliwa na zali tu! Hivi unajua kuwa wasanii wakali tu wapo hapa Bongo wana nyimbo zaidi ya kumi lakini inaweza ikapita hata miaka miwili hajapata show hata moja? Wapo wengi tu mjini. Kwake Ommy Dimpoz na wasanii wengine wacheche wenye bahati kama yeye ni tofauti. Tangu atoe NaiNai aliyomshirikisha Ali Kiba kijana amekuwa akipiga show kama hana akili nzuri. Ni bahati ama uwezo? Kwetu sisi tunaamini kuwa bahati ni sehemu ndogo tu ya mafanikio ya mchizi huyu. Jamaa ana charisma (kupendwa na watu) kali sana kutokana na jinsi alivyo. Ni mtu wa kujichanganya sana na kama ujuavyo watu wa aina hii hufanikiwa mapema. Ommy kama alivyo Diamond ana kitu fulani hivi ambacho ni kigumu kukieleza kwa undani kinachomfanya awe kibiashara zaidi. Tangu atoe Baadaye jamaa amekuwa ni mtu wa show mwanzo mwisho! “Frm Iringa to Dom still chasing paper,” ametweet leo(June 16). Cha kufurahisha ni kuwa wakati alienda Iringa aliambatana na Mpoki and guess whaat! “Drivin privately to iringa with Mpoki nilisahau kuchukua mbavu za spea dah ht chai bado nishacheka mara 760,’ aliandika jana. Mfano huo wa Ommy unadhihirisha kuwa siku msanii hahitaji kuwa na lundo la nyimbo ilia pate show bali kuwa na hits chache tu. Keep on chasing the paper bro lakini usijisahau ukapotea kama Sam wa Ukweli ambaye alibahatisha na ‘Sina Raha’ na sasa hivi Mungu ndo anajua kama atarudi ama ndo kwisha habari yake. Tunayo ya kuongea kuhusiana naye kwa kirefu next tym.

    8:09:00 PM
    Ommy Dimpoz Nyimbo Mbili , Shows Kibao Kuna watu huwa wanazaliwa na zali tu! Hivi unajua kuwa wasanii wakali tu wapo hapa Bongo...
    3500K